MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
We mzee Ulikuwa wapi?Sikilizeni
...............
Km mtu hawezi UTANI aende jukwaa la siasa(Polifix Forum) ndo kunamfaa
Hapa tunataniana,elimishana,pigishana stori n.k
Kisichoruhusiwa ni ugomvi ,malumbano na matusi
Km mtu utani unamboa asepe aende jukwaa la siasa awaache wanaojua/weza utani
.............
........
....
....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Majungu tu hayo hahahahaha
Binadamu hukosea pia jaman ... aende
kulipa kodi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]We mzee Ulikuwa wapi?
kumbe anakusema wewe???Acha umbeya wewe
Jambo la msingi ni kuheshimiana full stopBinadamu hukosea pia jaman ...
Kwa sasa Kaizari ni nani Mkuu?Ni kweli ya kaizari mpe kaizari na ya Mungu mpe Mungu ili uishi kwa amani
aende akaangalie mada za kule then arudi,we umeelewa nini?Binadamu hukosea pia jaman ...
Hana ubavu huo hahahahaha Kwani yeye ni mods, au ndiyo wale wenye akaunti fekikumbe anakusema wewe???
Kwa demu wakoWe mzee Ulikuwa wapi?
TRA mkuuKwa sasa Kaizari ni nani Mkuu?
Roger that nyangemaSikilizeni
...............
Km mtu hawezi UTANI aende jukwaa la siasa(Polifix Forum) ndo kunamfaa
Hapa tunataniana,elimishana,pigishana stori n.k
Kisichoruhusiwa ni ugomvi ,malumbano na matusi
Km mtu utani unamboa asepe aende jukwaa la siasa awaache wanaojua/weza utani
Utani wetu unaishiia hapahapa
Tukikuana kwingine tunapingana kwa hoja hakuna ushikaji
.............
........
....
....
Duuh we mzee unatembea na binti yako?, maana bado hatujaachanaKwa demu wako
Kupunguza uzee
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa demu wako
Kupunguza uzee
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Mwambie aweke picha ya risiti hahahahahakulipa kodi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Noma sana halafu ndio kakomaa kipindi hiki mpaka kwenye daladalaTRA mkuu
Maana hakuna anayelazimishwa au kufungwa na kifungu chochote kwamba lazima awepo kwenye hii thread km inamboa aende jukwaa la siasa akamjadili Profesa Lipumba,posho za mwenge na ndege za pangaboiRoger that nyangema
Kupishana ni kitu cha kawaida, kitu cha msingi ukijua mwenzako hapendi matusi achaBinadamu hukosea pia jaman ...
Noma sana halafu ndio kakomaa kipindi hiki mpaka kwenye daladala
Umenena kwa hisia blaza nyangema naona hautaki sport sport [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Maana hakuna anayelazimishwa au kufungwa na kifungu chochote kwamba lazima awepo kwenye hii thread km inamboa aende jukwaa la siasa akamjadili Profesa Lipumba,posho za mwenge na ndege za pangaboi
Asituharibie mood
Hatupendi kusikia ulalamishi
..................