Yupo Hai huyo?
1890 - Maria Goretti anazaliwa.
Alikuwa ni mtakatifu toka nchini Italy.
1886 - David Ben-Gurion anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Kwanza wa Israel.
1926 - Charles Dolan anazaliwa.
Alikuwa ni Mfanyabiashara toka nchini Marekani.
Pia ni mwanzilishi wa Televisheni maarufubya HBO.
Nyerere mpaka leo wanamzungusha kumpa utakatifu wanambakiza kuwa mwenye heri tu!View attachment 418956View attachment 418957View attachment 418958
Mtu mweusi hajawahi kuwa papa wala mtakatifu
Kweli dini imeletwa na meli
......
Nzuri, Ndio umeamka,Za saa nne hii makapuku
AnastahiliView attachment 418941
Akiwa na ObamaView attachment 418944View attachment 418945
Siku aliyokabidhiwa tuzo
.....
Hapana ndio nimeshika simu baada ya kutulia na kutafakari neno la Mungu la leo jumapiliNzuri, Ndio umeamka,
1944 - Kaizer Motaung anazaliwa.
Ni mwanzilishi na mmiliki wa timu ya soka ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.
AhsanteLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Manute Bol, muwe na Jumapili njema.
1953 - Paulo Roberto Falcao anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Roma na Timubya Taifa ya Brazil.
Anachukuliwa kama mmoja ya wanasoka mahiri kuwahi kutokea nchini Brazil.
Alikuwepo katika Brazil iliyoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 1982 pale Spain, akiwa na Socrates, Zico ( Pele mweupe ) na Eder. Kikosi hiko kinatajwa kama Brazil bora iliyoshindwa kubeba Kombe la Dunia.
Radamel Falcao alipewa jina la Falcao na baba yake kwa heshima ya Mbrazil huyu.
1962 - Manute Bol anazaliwa.
Ni Msudan aliyetamba sana NBA.
Alisifika kwa urefu wake usio wa kawaida.
Anataka kunizoea sanaImekuwaje tena?
Sio kutukana hadharani sasaAnataka kunizoea sana
Kwani yeye amefanya niniSio kutukana hadharani sasa
KafanyajeKwani yeye amefanya nini
macho kodo kwenye pesa zinatutesa kinyama