Makapuku Forum

Msimu wa 2010 simba sc ilinyakua ubingwa wa tanzania kwa point 56 ikiwa imeshinda mechi 18 na kudroo mbili (2)

Hii ilikua mara ya kwanza kwa klabu ya tanzania kuchukua ubingwa wa ligi kuu bila ya kupoteza mechi hata moja

Simba ilikua imebakiza mechi mbili kumaliza ligi
 
Kwel kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…