Makapuku Forum

1943 - Wafungwa katika gereza la Kijerumani la Sobibor huko nchini Poland waanzisha mgomo na kujaribu kutoroka.

Wafungwa 300 katibya 600 wanafanikiwa kutoroka na kuua askari 11 wa Gereza hilo.

Gereza la Sobibor ni moja ya magereza ya Siri yaliyokuwa yanamilikiwa na Serikali katili ya Dikteta Hitler.
 
Hapo hofu lazima
 
1944 - Field Marshal Erwin Rommel katika Jeshi la Nazi la Ujerumani analazimishwa ajiue mwenyewe baada ya kuhusika kula njama za kutaka kumuua Kiongozi wa Nchi hiyo Adolf Hitler.

Baada ya kukiri kuhusika kwake, Hitler anamwambia Rommel ajiue mwenyewe ili kulinda heshima yake kutokana na mchango wake katika Taifa hilo.

Rommel anajiua na inatangazwa kuwa alikufa kwa ajali ya gari na anazikwa mazishi ya kitaifa kwa kupewa heshima zote.
 

Nazism
...........
 
1981 - Makamu wa Rais wa Misri Hosni Mubarak anachaguliwa kuwa Rais wa Nchi hiyo mara baada ya kuuwawa kwa Rais Anwar Sadat.

Hosni Mubarak anakuja kukaa madarakani kwa miaka 30 kabla ya kutolewa kwa nguvu ya umma ambapo maandamano yalifanyika kila pembe ya Nchi hiyo.
 
Kumbe it was real ESCAPE FROM SOBIBOR
 
Huyo ndiye Hitler
 

Escape from Sobibor
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…