Makapuku Forum

[emoji2] Siyo mchezo aiseee, hii kazi najiuzulu kuanzia muda huu
Mkuu mi ningependa ajitokeze wa kunizaidia lakini kila anayejaribu anapwaya binafsi nilikuwa nakuangalia unavyojitahidi

Hiyo ni kazi ngumu hasa kumatch picha na tukio linalosemwa
Pia kutafuta picha zenye mvuto
N KIPAJI
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
..
 
Alafu unahitaji pia uwe na kasi ili uweze kwenda sambamba na Mussolin5 hapo ndo kazi sasa.

Zawadi tutakuzawadia demu mpya (miss chaga) aliyekuja hapa hv karibuni
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…