Sasa yupo Theresa May1923 - Margaret Thatcher anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza kwanzia Mwaka 1979 - 1990
Alijulikana kama " Iron Lady " kwa uongozi wake uliotukuka na alipewa jina hilo na mwandishi wa habari toka nchini Urusi.
Ndio Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke katika historia ya Uingereza. Pia ndio alikuwa Waziri Mkuu aliyekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi Uingereza katika karne ya 20.
Katika utawala wake alikuwa na urafiki mkubwa sana na Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Ronald Reagan.
Sisi hatupo siriaziImewachukua muda mrefu sana kulikenga hilo jiji.
Japo na wao pia walitawaliwa ila hatujaachana mbali kihvyo kwenye kupata uhuru
1923 - Margaret Thatcher anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza kwanzia Mwaka 1979 - 1990
Alijulikana kama " Iron Lady " kwa uongozi wake uliotukuka na alipewa jina hilo na mwandishi wa habari toka nchini Urusi.
Ndio Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke katika historia ya Uingereza. Pia ndio alikuwa Waziri Mkuu aliyekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi Uingereza katika karne ya 20.
Katika utawala wake alikuwa na urafiki mkubwa sana na Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Ronald Reagan.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unamkwepa kumbeeMimi huwa namuomba kila siku kuwa mapenzi yake anayonipa yanatosha, asinipende zaidi ya wanavyonipenda familia yangu hahahahaha
Kwa hiyo unakwepa kodi mkuuSijapewa
Ana undugu wowote na Malkia wa Taarabu?1931 - Raymond Kopa anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Ufaransa.
Haukudai haki yako?Sijapewa
Huyu atakuwa mwanamke wa pili kuwa pm wa ukSasa yupo Theresa May
Hahahahaha mkuu kwa sasa namuomba asinipende zaidi mpaka nitakapomuomba tofauti hahahahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unamkwepa kumbee
Alkuwa waziri mkuu kuanzia mwaka 1983 - 19891927 - Turgut Ozal anazaliwa.
Alikuwa ni Mhandisi, Mwanasiasa na Rais wa Uturuki.
Itakuwa ule utafiti umetuzidiSisi hatupo siriazi
SawaHahahahaha mkuu kwa sasa namuomba asinipende zaidi mpaka nitakapomuomba tofauti hahahahaha
Na wewe muombe kama mimi hahahahahaSawa
Kweli kabisaItakuwa ule utafiti umetuzidi
Huwa namshukuru kwa Neema anazonipatia kila kukichaNa wewe muombe kama mimi hahahahaha