Makapuku Forum

Msituni ngedere ndo mshindi
 
1949 - Carlos the Jackal anazaliwa.

Ni gaidi aliyetikisa Dunia miaka ya 1970's na aliisumbua sana Ufaransa. Ni mzaliwa wa nchini Venezuela.

Alikamatwa huko Sudan akiwa anaongeza nguvu za kiume.

Kwasasa anatumikia kifungo cha maisha huko Ufaransa.

Kuna stori nyingi sana za magumashi kitaa eti alimla Malkia Elizabeth bila kushtukiwa.
 
Du, ni wabongo wanazusha au huko Duniani
 

Tutafsirie "The Jackal" kwanini aliitwa hivyo
.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…