Makapuku Forum

Hii fursa naitamani ije tena sema sidhani maana yule manzi saiv atakuwa kaolewa
Ila kama vipi kikimuwasha nipo maana hakunaga ushemeji.
 
Afu we nae umeyaleta huku ya nini....[emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23] mm nlikuonya mapema kuwa kule hautapaweza, alafu jamaa akawa anakomaa na ww
[emoji23] eti ukajibu "hivyo hvyo" jamaa na yeye akakupiga tena swali hapo hapo
[emoji2] kule mpaka uombe Poo ndo wanakuachia, la sivyo labda mbio zako zikuokoe[emoji125] [emoji125]
Huoni nilivyomjibu....we kiranga uache kiranga chako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha lakini yule jamaa hakuna wa kubishana nae anaweza kubishana na JF nzima [emoji4]
 
Amini usiamini niliingia mule kimasoma....hii simu ilini mislead...[emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…