Makapuku Forum

Rais halafu mcheza muvi! Nimeipenda hii.....Ila yule jamaa aliemdungua Kennedy alikuwa noma!
Aliyemuua J.F.Kennedy alikuwa anaitwa Lee Harvey Oswald. Inasemekana alipata mafunzo yake Russia chini ya shirika la ujasusi la nchi hiyo KGB.

Mlinzi Clint Hill kutoka Secret Service, aliyekuwepo gari la nyuma ya Rais na ambaye alifika kuwakinga Rais na Mkewe mara baada ya Risasi ya kwanza kupigwa anasema mpaka leo kitu pekee anachojuta ni kushindwa kwake kumuokoa Rais.

Anasema laiti kama angeisikia vizuri risasi ya kwanza angeweza kufika kwa wakati na kumuokoa.
 
Kweli aisee
Nilikuwa tukio baya
Ingekuwa Bongo angeshavuta
.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…