1942 - Amitabh Bachchan anazaliwa.
Ni mkali wa filamu za Action toka nchini India.
Kwangu mimi ndio msanii mkali toka Bollywood.
Namkubali sana katika movie ya Andhaa Kanoon.
ukweli ni upi???si alichukua kule kwa De LimaHata Cristiano Ronaldo amepewa jina la Ronaldo kwa heshima ya Ronald Reagan.
Jamaa alikuwa ni mcheza movie hodari. Aliyejaribu kumuua Rais alikuja kuachiwa huru baada ya kugundulika ana matatizo ya akili.
Movie gani unaikubali kwake?Amitabh Bachchan bila kuona movie yake siku haijaisha
poa poa mukulu shululuAsante dikteta kwa leo katika historia
Kumbe ngoja nimnunulie kuku wa kienyeji wifeLeo ni siku ya mtoto wa kike Duniani.
Huyu Don King hazeeki?View attachment 416089View attachment 416090View attachment 416091
Fred Trump,Don King & Donald Trump
.........
sio mke ni mtoto wa kike yaaan chini ya 18Kumbe ngoja nimnunulie kuku wa kienyeji wife
Alikuwa mcheza muvi kabla ya kuwa RaisiRais halafu mcheza muvi! Nimeipenda hii.....Ila yule jamaa aliemdungua Kennedy alikuwa noma!
Asante kapukuLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Vichaa, tukutane tena kesho.
Jumanne njema.
Kichaa hufungwa!!!milembe ipo karibu na Gereza kuu la Isanga ukileta mbwembwe kule unawekwa ndani
1956 - Nicanor Duarte anazaliwa.
Ni mwanasheria, mwanasiasa na ameshika madaraka ya Rais wa Paraguay.
Hapana, De lima kaanza kuvuma Juzijuzi World cuo ya mwaka 1998, wakati Ronald Reagan alikuwa mashuhuri miaka ya 1980.ukweli ni upi???si alichukua kule kwa De Lima
Picha itafutwa kama uzi wake wa janaWeka picha[emoji41]
Hapo utakuwa umemuenzi ipasavyoKumbe ngoja nimnunulie kuku wa kienyeji wife
ShululuKunae mtu unamdhania ni kichaaa?
Amejifunza kuhunika..uhuniAf acha uhuni, hufananii ujue!!![emoji1]
Me nazungumzia picha[emoji16]
ukweli ni upi???si alichukua kule kwa De Lima
Mwite au mkopie hahahahahaMiss chaga kaona
Akaunti nyingine aitwaje?Kwani unadhani kitabu ni mgeni humu JF hiyo ni akaunti yake mpya