MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Asante na wewe pia
Asante na wewe pia
Marhabaa the book...hujambo mdogo wangu?Shikamoo dada Sweetiepie
sijambo dada,utashiriki kwenye mdahalo??Marhabaa the book...hujambo mdogo wangu?
Ntashiriki utauweka humu Kf au utaufungulia uzi chitchatsijambo dada,utashiriki kwenye mdahalo??
Unaanza saa ngapi? maana kuanzia saa nane ntakuwa busyutakuwa huko nje ila watawamention kama washiriki na wengine wakipenda wataingia
Ukitag/mention watu unaharibu uzi wako......ukapuku/uswahiba mwisho hapahapa KFutakuwa huko nje ila watawamention kama washiriki na wengine wakipenda wataingia
Ahsante kwa magazeti.![]()
Kwa niaba ya mleta magazeti mimi ni ZE KITABU!!!!!
Kwelinadhani kuanzia jioni itakuwa poa,ila muda huu wa mchana watu wapo busy