ni online nikisome kabla ya kesho??Mwijage
Bado hujaelewa mwendee mussolin5 akueleze alichomaanishandio maana nasema Nyerere tumepokonywa status yake akapewa mwingine
mkuu kesho tutajadili haya yoteAkina Walter Sisulu, Moses Mabhida.
Ni mashujaa wasioimbwa South Africa.
Ishu sio kukimbia, bali kumaliza mbioAkina Walter Sisulu, Moses Mabhida.
Ni mashujaa wasioimbwa South Africa.
Hata kwetu wapo wengi waliopambana sana na historia haijawatambuaAkina Walter Sisulu, Moses Mabhida.
Ni mashujaa wasioimbwa South Africa.
hata hivyo nimeelewa ila nasema nyerere aliporwa status yake,ila najua we upo kwa madibaBado hujaelewa mwendee mussolin5 akueleze alichomaanisha
Tunaongelea Kwame, Madiba kaingia je hapa?hata hivyo nimeelewa ila nasema nyerere aliporwa status yake,ila najua we upo kwa madiba
tukutane kesho.
Kama nani vileHata kwetu wapo wengi waliopambana sana na historia haijawatambua
SawaUshauri:tafuteni makala juu ya hawa jamaa ili kesho mjadili kwa hoja!!!
yaan simple tu,kwamba nyerere alichukiwa na wazungu ndo maana sio kama madiba kwa umaarufuTunaongelea Kwame, Madiba kaingia je hapa?
Nakushauri upende kujifunza UKWELI mchungu kuliko UONGO mtamu kwani mwisho wa siku mshindi ni UKWELI rafiki
Kwa ufupiKama nani vile
historia inawatenga baadhi ya watuKwa ufupiView attachment 415262
Hivyo ujue yapo mambo tumelishwa, wapo walioanza harakati za ukombozi kabla ya jk lkn hawatajwi au kupewa umhimhistoria inawatenga baadhi ya watu
kuna sehemu umeandika "......kumaliza mbio"Hivyo ujue yapo mambo tumelishwa, wapo walioanza harakati za ukombozi kabla ya jk lkn hawatajwi au kupewa umhim
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]kuna sehemu umeandika "......kumaliza mbio"
USIKU MWEMA