Makapuku Forum

Inahitaji akili ya ziada kuelewa hili
 
2.Kwame Nkrumah;alikuwa rais wa kwanza wa Ghana,nchi iliyopata uhuru mapema zaidi,1957.Alifariki 26 April,1972.Ni kiongozi wa kukumbukwa Duniani kwa harakati zake za ukombozi wa Bara la Afrika,mmoja wa waasisi wa Umoja wa Afrika.
 
Nipo nasoma Kitabu kinaitwa " The dark side of JK Nyerere " Jamaa amemkosoa sana Nyerere.

Pamoja na changamoto za hapa na pale Nyerere anabaki kuwa Kiongozi namba 1 Afrika.

Bila harakati zake Mandela na South Africa yake isingekuwa vile.

Alipaza sauti yake kimataifa dhidi ya makaburu bila woga.
 
Pamoja na yote bado Madiba anastahili no 1
 
Mazila gani jk alipambana nayo umlinganishe na Madiba?
Ndo hapo sasa...

Kila nchi inaandika historia ya waasisi wao kwa mambo mazuri tu(Kila mwamba ngoma, ngozi huivutia kwake)

Wewe unaweza ukamuona Saddam Hussein ni mbaya lakini kwenye nchi yake unakuta wamemuandika kwa mazuri.

Hvyo tunakaririshwa kulingana na hiyo methali hapo juu[emoji115] kwenye bracket
 
1.Nelson Mandela;alikuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika kusini kuanzia 1994-1999,mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi,alifungwa gerezani kwa muda mrefu(27 yrs),mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel.Anatajwa kama kiongozi mahiri kuwahi kutokea Afrika.

****THE BOOK***
kesho tujadili hii mada kwa hoja za kihistoria "Nyerere ni bora kuliko Mandela"!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…