Makapuku Forum

....umahiri wa kuongea...
 
Kiongozi wa ukweli huyo
 

Kwangu mimi Nyerere ndo # 1
Labda kwavile hajawahi kufungwa jela tu ndo kazidiwa na Madiba
........
 
Kuwa makini kwa vitu inavyovileta hapa..
Vinasomwa na watu wengi..
[emoji2] usiwe kama mlozi Jr anayeshika masikio kule kwenye thread(historia) yake uchwara.
[emoji120] all de best my friend
Siku ya 3 hii hajapost
Itakuwa kina "Karanga" wamempa onyo PM kwamba akiendeleza pumba watamchana palepale
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
 
View attachment 415236View attachment 415237View attachment 415238View attachment 415239
Kwangu mimi Nyerere ndo # 1
Labda kwavile hajawahi kufungwa jela tu ndo kazidiwa na Madiba
........
Madiba anastahili hiyo no. 1

Na katika hizi takwimu naona Nyerere wamempendelea sana kumuweka no. 3

Imgekuwa ni mimi nngemuweka Nyerere no. 11 au nimtoe kabisa katka top ten.
[emoji53] USINIULIZE NI KWANINI.

Maana tutazua mjadala mwingine mzito nikitetea hoja yangu

[emoji120] all de best my friend
 
Umaskini wako hauhusiani na Nyerere
Sawa UKAWA?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
 
Siku ya 3 hii hajapost
Itakuwa kina "Karanga" wamempa onyo PM kwamba akiendeleza pumba watamchana palepale
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Anadanganya watu, hivi hajui kuwa hapa Jf wako watu na taaluma zao tofauti?

Naona angebaki kule kwenye ulozi tu, coz ni mambo yanayohusu imani, hvyo hamna mtu wa kum-challange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…