Makapuku Forum

Daaah R.I.P lumumba
 

Siku alipokamatwa
.....
 
[emoji2] vazi la kawaida sana hilo, hata kwenye mitumba linapatikana kwa kuunga unga.

Unaanza na trauza then shati after that koti + moka = MWENDO MDUNDO
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sishabikii suti
Ht chuo tulitakiwa tuvae hivyo lakini sikuwahi kuvaa koti ht siku moja.....navhomekea mashati ya kitozi na suruari safi ya kitambaa cheusi inatosha
Hata siku nikioa kwenye harusi sihitaji suti/koti na hakuna wa kunilazimisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…