8.Jomo Kenyatta;alikuwa rais wa kwanza wa Kenya iliyopata uhuru 1963 hadi alipofariki 1978.Anasifika kwa kuleta uchumi imara wa Kenya,kutofuata ujamaa na kufuata sera za kimagharibi.
Ni utata hapo.Mandela ananipa hamu ya kumsoma zaidi,naona kama alipangwa na makaburu,kwanini amuoe mke wa jamaa??
Nadnani wa kwanza hapo atakuwa Mandela, hku akifuatiwa na Kwame Nkuruma then nyerereMandela ananipa hamu ya kumsoma zaidi,naona kama alipangwa na makaburu,kwanini amuoe mke wa jamaa??
mmmmmmmmmmhNadnani wa kwanza hapo atakuwa Mandela, hku akifuatiwa na Kwame Nkuruma then nyerere
[emoji56] Nawaza tu
Sema nikutumie cm yake kama sio domo zegeSawa..!
Kuna mambo hayatokei kwa bahati mbaya, hutokea kwa kupangwa.
Tangu utotoni full sutiKuna mambo hayatokei kwa bahati mbaya, hutokea kwa kupangwa.
Sina haja nayoSema nikutumie cm yake kama sio domo zege
Vizuri havidumu.7.Thomas Sankara;alikuwa rais wa Burkina Faso 1983-1987,alichukua madaraka akiwa na umri wa miaka 33.Alisifika kwa kuondoa utawala wa "kifaransa" na rushwa serikalini .Aliuawa oktoba 5,1987 na kikundi cha kijeshi.Pia aliitwa "The African Che Guevara".
hahaha....Tangu utotoni full suti
Wengine hadi leo hatujawahi kuvaa suti
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Endelea na sabuniSina haja nayo
HakikaVizuri havidumu.
[emoji2] vazi la kawaida sana hilo, hata kwenye mitumba linapatikana kwa kuunga unga.Tangu utotoni full suti
Wengine hadi leo hatujawahi kuvaa suti
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Kifo chake chasikitisha sana6.Patrice Lumumba(Prime Minister);alikuwa waziri mkuu wa kwanza kuchaguliwa huko DRC,aliongoza harakati za kuondoa utawala wa kikoloni wa "belgium".Baada ya nchi kuchukulia kijeshi na "Joseph Mobutu",Lumumba alifungwa gerezani kisha kuuawa january 17,1961.Umoja wa Mataifa unalaumiwa kwa kupuuzia mauaji haya.
Situmii sabuni natumia weseEndelea na sabuni
7.Thomas Sankara;alikuwa rais wa Burkina Faso 1983-1987,alichukua madaraka akiwa na umri wa miaka 33.Alisifika kwa kuondoa utawala wa "kifaransa" na rushwa serikalini .Aliuawa oktoba 5,1987 na kikundi cha kijeshi.Pia aliitwa "The African Che Guevara".
Namkubali sana huyu mzee wa buknabe7.Thomas Sankara;alikuwa rais wa Burkina Faso 1983-1987,alichukua madaraka akiwa na umri wa miaka 33.Alisifika kwa kuondoa utawala wa "kifaransa" na rushwa serikalini .Aliuawa oktoba 5,1987 na kikundi cha kijeshi.Pia aliitwa "The African Che Guevara".
Apumzike kwa amani.6.Patrice Lumumba(Prime Minister);alikuwa waziri mkuu wa kwanza kuchaguliwa huko DRC,aliongoza harakati za kuondoa utawala wa kikoloni wa "belgium".Baada ya nchi kuchukulia kijeshi na "Joseph Mobutu",Lumumba alifungwa gerezani kisha kuuawa january 17,1961.Umoja wa Mataifa unalaumiwa kwa kupuuzia mauaji haya.