Makapuku Forum

Jamaa yangu analia sana,anakuja mtu shambani anatoa pesa ambayo ni robo ya matumizi yako ya Kilimo, Ile kuvuna kuleta k,koo kilio kikawa kikubwa

Kwa sasa ukitaka kufanya business yoyote lazima ufanye utafiti wa kina

Naskia Tikiti imeliza watu sana miezi hii ya June na kuendelea
Najiskia kulia aisee [emoji24] .. Mi tikiti langu ndo linatoa maua[emoji87][emoji87]
 
Bepari uko nondo sana linapokuja swala la historia [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…