sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 10, 2016 #1,101 mshana jr said: Mbona hatuonani? Click to expand... Mambo mengi, sema Siku hizi umeacha kupost uchawi chawi...sijui umeokoka? Wakat uliahidi bàda ya easter...
mshana jr said: Mbona hatuonani? Click to expand... Mambo mengi, sema Siku hizi umeacha kupost uchawi chawi...sijui umeokoka? Wakat uliahidi bàda ya easter...
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,527 Reaction score 3,344 Apr 10, 2016 #1,102 Bado mpo naimani mshakua wakongwe kwa stail hii
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 10, 2016 #1,103 Bitoz said: Makapuku wote Malalamiko yetu kule MEMBERS ONLY kuhusu 5 LIKES yamejibiwa baada ya sisi kuungana na kukomaa na kufanya kamgomo baada ya kuona hatujibiwi siku mbili Tusubiri utekelezaji sasa Huu ni ushindi Umoja ni nguvu Click to expand... Pamoja tunaweza #TEAM_MAKAPUKU
Bitoz said: Makapuku wote Malalamiko yetu kule MEMBERS ONLY kuhusu 5 LIKES yamejibiwa baada ya sisi kuungana na kukomaa na kufanya kamgomo baada ya kuona hatujibiwi siku mbili Tusubiri utekelezaji sasa Huu ni ushindi Umoja ni nguvu Click to expand... Pamoja tunaweza #TEAM_MAKAPUKU
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,866 Reaction score 831,163 Apr 10, 2016 #1,104
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 10, 2016 #1,105 eden kimario said: Bado tatizo lipo likes bado zinasomeka 5 tu kwenye coments zetu mods hili mlifanyie kazi bana Click to expand... Nenda MEMBERS ONLY....kasome jibu lao
eden kimario said: Bado tatizo lipo likes bado zinasomeka 5 tu kwenye coments zetu mods hili mlifanyie kazi bana Click to expand... Nenda MEMBERS ONLY....kasome jibu lao
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 10, 2016 #1,106 HOPECOMFORT said: Nahisi kuna walio lala humu na kuamkia humu humu.. Kweli makapuku tuna usongo....Amjambo lkn? Click to expand... Tuko poa kabisa,karibu tena
HOPECOMFORT said: Nahisi kuna walio lala humu na kuamkia humu humu.. Kweli makapuku tuna usongo....Amjambo lkn? Click to expand... Tuko poa kabisa,karibu tena
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,866 Reaction score 831,163 Apr 10, 2016 #1,107 youngblood said: Nimemtania tu, huyu mshana jr namkubali sana na mambo yake ya kuzimu. Click to expand...
youngblood said: Nimemtania tu, huyu mshana jr namkubali sana na mambo yake ya kuzimu. Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 10, 2016 #1,108 mshana jr said: View attachment 336177 Click to expand...
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 10, 2016 #1,109 mshana jr said: View attachment 336179 Click to expand... Mkuu hapa ndipo unaponiacha hoi,hivi haya mambo umeyatoa wapi? mmi pia nataka
mshana jr said: View attachment 336179 Click to expand... Mkuu hapa ndipo unaponiacha hoi,hivi haya mambo umeyatoa wapi? mmi pia nataka
ibra87 R I P Joined Jul 22, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,363 Apr 10, 2016 #1,110 mmeamka salama makapuku wenzangu? Kinachotakiwa wanapokuja hao wanaojiita wakongwe tuwafumbie macho na kuwapita tu
mmeamka salama makapuku wenzangu? Kinachotakiwa wanapokuja hao wanaojiita wakongwe tuwafumbie macho na kuwapita tu
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 10, 2016 #1,111 mshana jr said: Nimewekwa benchi Click to expand... mkuu itabidi usimamie kamati ya ufundi ya makapuku maana uko vizuri haswa
mshana jr said: Nimewekwa benchi Click to expand... mkuu itabidi usimamie kamati ya ufundi ya makapuku maana uko vizuri haswa
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 10, 2016 #1,112 ibra87 said: mmeamka salama makapuku wenzangu? Kinachotakiwa wanapokuja hao wanaojiita wakongwe tuwafumbie macho na kuwapita tu Click to expand... Mkuu mbona kuna wakongwe wengine wanaheshima na nidhamu... Swalama?
ibra87 said: mmeamka salama makapuku wenzangu? Kinachotakiwa wanapokuja hao wanaojiita wakongwe tuwafumbie macho na kuwapita tu Click to expand... Mkuu mbona kuna wakongwe wengine wanaheshima na nidhamu... Swalama?
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 10, 2016 #1,113 ibra87 said: mmeamka salama makapuku wenzangu? Kinachotakiwa wanapokuja hao wanaojiita wakongwe tuwafumbie macho na kuwapita tu Click to expand... Ila wakongwe wengine ni wazuri siyo wote ni wabaya
ibra87 said: mmeamka salama makapuku wenzangu? Kinachotakiwa wanapokuja hao wanaojiita wakongwe tuwafumbie macho na kuwapita tu Click to expand... Ila wakongwe wengine ni wazuri siyo wote ni wabaya
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,866 Reaction score 831,163 Apr 10, 2016 #1,114 sumbai said: Mambo mengi, sema Siku hizi umeacha kupost uchawi chawi...sijui umeokoka? Wakat uliahidi bàda ya easter... Click to expand... Zinanikosesha mengi zile post nimeona nizipotezee
sumbai said: Mambo mengi, sema Siku hizi umeacha kupost uchawi chawi...sijui umeokoka? Wakat uliahidi bàda ya easter... Click to expand... Zinanikosesha mengi zile post nimeona nizipotezee
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,866 Reaction score 831,163 Apr 10, 2016 #1,115 HULILO said: mkuu itabidi usimamie kamati ya ufundi ya makapuku maana uko vizuri haswa Click to expand...
HULILO said: mkuu itabidi usimamie kamati ya ufundi ya makapuku maana uko vizuri haswa Click to expand...
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 10, 2016 #1,116 mshana jr said: Zinanikosesha mengi zile post nimeona nizipotezee Click to expand... Ha haaa haya.... Ndio uokokee sasa!
mshana jr said: Zinanikosesha mengi zile post nimeona nizipotezee Click to expand... Ha haaa haya.... Ndio uokokee sasa!
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 10, 2016 #1,117 HULILO said: mkuu itabidi usimamie kamati ya ufundi ya makapuku maana uko vizuri haswa Click to expand... Hii kazi mshana jr ataiweza vizuri.
HULILO said: mkuu itabidi usimamie kamati ya ufundi ya makapuku maana uko vizuri haswa Click to expand... Hii kazi mshana jr ataiweza vizuri.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 10, 2016 #1,118 HULILO said: mkuu itabidi usimamie kamati ya ufundi ya makapuku maana uko vizuri haswa Click to expand... Ha haa kumbe anayetulinda ni mganga mshana...... We're safeee
HULILO said: mkuu itabidi usimamie kamati ya ufundi ya makapuku maana uko vizuri haswa Click to expand... Ha haa kumbe anayetulinda ni mganga mshana...... We're safeee
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,866 Reaction score 831,163 Apr 10, 2016 #1,119 sumbai said: Ha haaa haya.... Ndio uokokee sasa! Click to expand... youngblood said: Hii kazi mshana jr ataiweza vizuri. Click to expand... Sijui niendelee tu au sijui niache?
sumbai said: Ha haaa haya.... Ndio uokokee sasa! Click to expand... youngblood said: Hii kazi mshana jr ataiweza vizuri. Click to expand... Sijui niendelee tu au sijui niache?
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 10, 2016 #1,120 mshana jr said: Sijui niendelee tu au sijui niache? Click to expand... Endelea mkuu usiache