Pole pia Hongera sana! Af post zako........[emoji40]Demu kipindi yuko mjamzito mpaka anajifungua, wazazi wangu walikuwa hawajui kabisa.. coz niliogopa kusema nikimuhofia baba angu coz alikuwa mkali sana. Hivyo maumivu yaliutesa moyo wangu sana.
Ila kwa upande wa mwanamke walinisapoti sana na walikuwa wakinipa moyo. Ila baada ya miaka 2 kupita ndo wakaja home kutoa taarifa.
Baba angu alihuzunika sana akisema kuwa unawezaje kuacha kunipa taarifa kwa matatizo makubwa km haya mpk yanakutesa namna hii.
[emoji2] basi kuanzia hapo nikawa napewa opportunities na wazazi ciz walijua tayar nategemewa.. kila ishu ya pesa nikawa naambiwa niifanye mm
Ngoja niishie hapa lakin mambo mengi sana
Usiende kwa lift ya atc.. Utakuwa mkimbizi shaur yako..Kabisa, lakini wao na ukimbizi ni Chanda na Pete
Vp tena
Af weewe!Poa Werraa
Teh teh teh!!!Af kweli!!! shululu utanipiem nije kukuchukua huko Antananarivo[emoji12]
Hongera, mshukuru Mungu coz panic ndo inaspoil mamboSaana.. Ila kiukweli namshukuru mungu kwa moyo alionipa, huwa napigana na matatzo yangu kimya kimya.. Mtu akija kugundua ananishangaa kabsa jinsi ninavyosolve.. Anaamin angekuwa yeye angekuwa katika hali mbaya zaid.
[emoji41] nmejifunza kuwa muwazi na sijivungi.Pole pia Hongera sana! Af post zako........[emoji40]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Pombe nna mpango niache kwa sasa ila nyasi labda nitaacha nikioa
Tunaweza kuwa sawa sehemu fulani hivi, ni vitu vichache tutapishanaDemu kipindi yuko mjamzito mpaka anajifungua, wazazi wangu walikuwa hawajui kabisa.. coz niliogopa kusema nikimuhofia baba angu coz alikuwa mkali sana. Hivyo maumivu yaliutesa moyo wangu sana.
Ila kwa upande wa mwanamke walinisapoti sana na walikuwa wakinipa moyo. Ila baada ya miaka 2 kupita ndo wakaja home kutoa taarifa.
Baba angu alihuzunika sana akisema kuwa unawezaje kuacha kunipa taarifa kwa matatizo makubwa km haya mpk yanakutesa namna hii.
[emoji2] basi kuanzia hapo nikawa napewa opportunities na wazazi ciz walijua tayar nategemewa.. kila ishu ya pesa nikawa naambiwa niifanye mm
Ngoja niishie hapa lakin mambo mengi sana
Nashkuru kwa hilo..Hongera, mshukuru Mungu coz panic ndo inaspoil mambo
Ina maana hata Palii sisi ni wakimbizi???Kabisa, lakini wao na ukimbizi ni Chanda na Pete
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. 现在,你至少开始学习日语字母,让我们来学习一些基本词汇和简单的日本现在,你至少开始学习日语字母,让我们来现在,你至少开始学习日语字母,让我们来学习一些基本词汇和简单的日本习一些基本 词汇和现在,你至少开始学习日语字母,让我们来学习一些基本词汇和简单的日本现在,你至少开始学习日语字母,让我们来现在,你至少开始学习日语字母,让我们来学习一些基本词汇和简单的日本习一些基本词汇和简单的日本的日本
SIPENDAGI UJINGA MIMI!
[emoji106] [emoji123]Dah.. Hongera kupata support kikeni... Jambo zuri sana, mie upande wa demu walikuwa kama wamenisusia, wakat mwingine usiku demu ananiambia anatimuliwa kwao km hajakubali kuwaleta home.. Simu za vitisho kila mara yaani situlii ukiona simu tu unajua maseke yameanza.. Uchaw dingi kafariki kitambo niko na bimkubwa ilikuwa ngumu kumface, atleast mshua.. Basi nateseka mwenyewe tu.. Shule ikawa ngumu kutia maguu, wale wananitafta hadi mazingura ya xcul.. Demu ananipa michapo tu kuwa unasakwa leo wamepanga kuja shulen kwenu.. Navunga kutia miguu xcul, washkaj wanakuja kuniambia kuwa leo kuna watu fulan walikuwa wanakuulzia, ila uzur niliwaeleza washkaj wakawa wananilinda sana..
Kufatilia mubiashala yanguAntananarivo unataka kwenda kufanya nini sasa
Pole kwa matatizo lakin.[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Usijali jiraniVp tena
Pole sana aiseeDah.. Hongera kupata support kikeni... Jambo zuri sana, mie upande wa demu walikuwa kama wamenisusia, wakat mwingine usiku demu ananiambia anatimuliwa kwao km hajakubali kuwaleta home.. Simu za vitisho kila mara yaani situlii ukiona simu tu unajua maseke yameanza.. Uchaw dingi kafariki kitambo niko na bimkubwa ilikuwa ngumu kumface, atleast mshua.. Basi nateseka mwenyewe tu.. Shule ikawa ngumu kutia maguu, wale wananitafta hadi mazingura ya xcul.. Demu ananipa michapo tu kuwa unasakwa leo wamepanga kuja shulen kwenu.. Navunga kutia miguu xcul, washkaj wanakuja kuniambia kuwa leo kuna watu fulan walikuwa wanakuulzia, ila uzur niliwaeleza washkaj wakawa wananilinda sana..
Ngoja niende piem nimutumie hela kwa western union!Teh teh teh!!!
Nnawasi wasi hata bundle hatoweza kununua.. We ipaki ndege kiwanjan tu atakuja mwenyewe
Nimeona uwazi wako[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji41] nmejifunza kuwa muwazi na sijivungi.
Ndo mana unaona mm niko wazi kabisa