MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Ishi, yaani nimeconcentrate nikifikiri ni tahadhali ya kweli kumbe ni ndezi amejamba teh teh teh tehTAHADHARI KWAKO WEWE NA HII HABARI ILOYO FIKA HIVI PUNDE.
TAFADHARI SOMA KWA MAKINI NA MJULISHE MWENZIO
Jana katika sehemu ya kuifaizia wanyama DAR ES SALAAM ZOO ilitangazwa kuwa ametokea nyoka..
Hatari sana Ambaye hajawahi kutokea duniani. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka
Urefu wa 1.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 20 kurudi nyuma.
mpaka sasa hakuna siraha ya kuweza kumua nyoka huyo isipokuwa akijiumaa mwenyewe ndo anaweza kufa.
Wanasayasi hao walieeleza japo uchunguzi zaid bado Unaendelea........
Huyu ninyoka anayeua kuliko nyoka wote waliowah kutokea huyu hupatikana katika simu
Pekee za nokia toch katika sehemu ya game inaitwa Sneke senzia.....
Asante kwa umakini mkubwa katika usomaji wa taarifa muhimu!!!!!!!![emoji23][emoji1][emoji12]
RM
Mechi tamu sana hii leo hakuna kulala
Muongo wwMechi tamu sana hii leo hakuna kulala
HujamboMarhabaaa
Jeshini noma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akina mura wale watafyatua mpaka basi
Ni Mifugo umekosea jinaMAVUGO WAKATI YUPO BURUNDI
View attachment 407829
kwwiii kwiiiNi Mifugo umekosea jina
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Kanuni haziruhusu kugoma, ukiwa umejiandaa kugoma, ujiandae na kuondoka urudi uraiani maana hakuna namnaJeshini noma sana
Ukigoma wanakupa zengwe
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.. ......
Tatizo la jeshi ni kuwa taasisi huru mfano kuna Mahakama yao(Martial Court)Kanuni haziruhusu kugoma, ukiwa umejiandaa kugoma, ujiandae na kuondoka urudi uraiani maana hakuna namna
Itakua, huyu dawa yake BITOZ tuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jonax ndo ushapiga mibange yako sio?
Ndio maana wengine tumerudi uraiani sababu tulithubutu kujitutumua mwisho wake out....Tatizo la jeshi ni kuwa taasisi huru mfano kuna Mahakama yao(Martial Court)
Kuna madudu mengi majeshini lakini huwezi kuyapeleka uraiani
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...........
Ila TZ hii sijawahi kukutana na sista anaevutiaSi kuna masista? [emoji4][emoji125][emoji125][emoji125] ...... kidding
Acha UMBWIGATAHADHARI KWAKO WEWE NA HII HABARI ILOYO FIKA HIVI PUNDE.