Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Huyu anaanzaga hivi hivi mwisho atafanikiwa kumfyatua mama yangu, kuingia humu jukwaa la Makapuku alianza hivi hivi sasa hivi ni senior member
Tena uwe na msimamo sana asije akachafua mbegu yetuHivi unanichukulia poa sana eeh??? Mi Niko double long time
We bwana....hiyoHahahahaha huyo akikupa like basi ujue anataka kukufyatua hahahahaha
Mimi kicheche sijali nani wala nani. Wakunibabaisha aje na pingu na bunduki na pisto na ngwala na kamba ya kunifunga miguu na kitambaa cha kunifunga mdomo na mikono nisiandike kama hivi sasa. Wee nani Ritzi kaunguzwa usoni na acid mimi nipo zinapouzwa hanitishi.Njoo huku kule jukwaa la siasa utafyatuliwa sana, huku ni vicheko tu
HaweziTena uwe na msimamo sana asije akachafua mbegu yetu
Ila uwe mwangalifu ngoja waje wakuelekeze sheria za humuna mimi ni team kapuku
Haya maneno yamefika kwa sakafu ya moyoMi ndio maana nakupenda to the moon and back
Oya, una undugu na ungabure nini?nimebadili sasa
Hahahahahanilikuwa nawatisha kina jonax..ili wanikaribishe kwa uoga
ipi??Oya, una undugu na ungabure nini?
Embu kwanza taja ile Id yako unayoitumia humu mara kwa mara ukiacha hii
Bila shaka huyu ni ungabure, maana swaga zinafananaUna bahati ...Makapuku hatushabikii masokwe wala picha za kutishana tena haziruhusiwi kupostiwa hapa
.......
jamaa ananionea kwanza mi bado mdogo hata miaka 20 badoWe bwana....hiyo
Hapo safi...
Hivi id yako nyingine ni gani? Nakufananisha sana na kikofia
Hahaha hilo nalo neno ila hata kama angekuepo ingeendelea kuwa hivi tu mana kuna muda alishakataga tamaaLakini si umefurahi unakula kwa nafasi??
ungabure ndo nani??Bila shaka huyu ni ungabure, maana swaga zinafanana
Nilijua tuhuu ni usajili wangu mpya, tena ni kinda huyu, nataka kumkuza kisoka hadi amzidi pogba
Hahahahaha watakung''oa meno bila ganzi kule njoo huku mpendwa wanguMimi kicheche sijali nani wala nani. Wakunibabaisha aje na pingu na bunduki na pisto na ngwala na kamba ya kunifunga miguu na kitambaa cha kunifunga mdomo na mikono nisiandike kama hivi sasa. Wee nani Ritzi kaunguzwa usoni na acid mimi nipo zinapouzwa hanitishi.