sugar mummy???kwahiyo bitoz ni tea daddy
mweeehMkuu umeona kimvuli
Aisee hiyo ni nyepesiBasi kam hutaki na hyo, tunakupa kitengo cha u-house boy.
Na utakuwa unafanya usafi kwenye nyumba ya Bitoz
Ovaa.
cyo ombi, bali ni Amri
Kule polifix, tunapitaga tu...Ni kweli kabisa hebu mwambie Bitoz aitengenezee uzi kule jukwaa la siasa au habari mchanganyiko atapata wachangiaji wa kutosha
ananipaje kazi ya kitotoAisee hiyo ni nyepesi
Ngoja akupe nyingineaka hiyo siwezi
AsantePole kwa ulevi wako wa kutokuelewa maada,..
kwani we una kazi??sio unanipa kazi we huna........Ngoja akupe nyingine
Tena sio mojasasa huo uonevu,kwan bitoz naye ana nyumba??
[HASHTAG]#hatakagi[/HASHTAG] ujingaTena sio moja
Nakuona umekula ban na unatia huruma hahahahahaKwani siunaniona humu Kf ?
Subiri aweke utaelewa tu ukiionaAweke picha ya NANIHII!?c au sijakuelewa?
Labdasi nilisikia ukisoma sana unachanga hizo nyikiwa?
yaan makapuku tunapendana,likes nyiiiiiingiLabda
Wacha we kwani malaika asiyejaribiwa ana mdogo wake aliyechanganyikiwaNaona anataka kufanana na mdogo wake na mkulu
Mpe kitengo cha kusafisha vyooCha ajabu nmempa kitengo kizuri lakini hakitaki!
Huyu jamaa ni mbishi sanaa
Mpe kitengo cha kusafisha vyooCha ajabu nmempa kitengo kizuri lakini hakitaki!
Huyu jamaa ni mbishi sanaa
Unaona umekuwa senior member mpaka saa nne usiku utakuwa JF expert member hongera sana, usiwe mchoyo wa likeskapuku amekuona...hataki jikoni,au kuna jiko la gesi??