Nimedabo na segment ya jana, mlikuwa nami Sweetie pie....a.k.a instincts lady, tukutane tena week ijayo asanteni na jumapili njema yenye upendo na furaha. Enjoy guys
Bitoz anacho cha did you know hebu wasiliana nae. Vinaweza kuwa na swaga tofauti kama mimi na Cobblepots tunafanya muziki ila yeye kaja na top kali za Kapuku.