Makapuku Forum

Dah kweli leo nyota yako inang'aa man, hii post ya 111111 niliivizia kimyakimya lakini wap [emoji15][emoji15][emoji15]... Leo kweli ni siku yako ya ubutuaji. Nakuombea tu ubutuaji mwema kwa shem wangu ukifika [emoji4][emoji4]
Hahaa... Tena ntambutua kisawa sawa.. Utafikiri ndio ananipa for the 1st time arif.. Ubutuaji wa kimataifa, ubutuaji wa mizinga sio kombolela..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…