MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Vyote mkuu hahahahahaMorning, unatumia kilevi gani mkuu?
Mp upoHodi humuuu......shikamoon makapuku wenzangu.....za siku mingii......natumaini mpo vizur
Naona ndio unaamkaPowa mkuu
Mpaka komoni?Vyote mkuu hahahahaha
Ni komoni au Common???[emoji23]Mpaka komoni?
Pombe inaitwa komoni /kimpumuNi komoni au Common???[emoji23]
Ai noo[emoji125]Pombe inaitwa komoni /kimpumu
Namkubali sana Will Smith1968 - Will Smith anazaliwa.
Ni actor na mwanamuziki kutoka nchini Marekani.
Yuko vizuri sana, amedumu kwenye faniNamkubali sana Will Smith