Makapuku Forum

Mh! Em niambie nagunduaje ikiwa atarudi smart kama alivyoondoka? Na usisahau ile organ ni kama elastic material huwa inarudi kwenye original size baada ya tendo ama ntapimaje?
Kwa kesi yako hiyo...ni kweli endapo ataonana na Bamia ila kama akikutana na kubwa zaidi yako...utagundua tu...na hiyo sehemu ni kama plastic inajirudi nakubali ila sio hapo hapo kwa siku moja baada ya tendo...uwiiiiiii Jonax usisome hii wewe ni mtoto
sitaki hata kuendelea.
 
Je kuna ratiba ya Mada au kila mtu anakurupuka kivyake na alichowaza kichwani?
Ratiba ipo mida ya asubuhi Magazeti na Leo katika historia na jioni mida flani kuuna kuwa na nukuu pia kuna dj anatudondoshea music ya back to those days na weekends kuna old iz gold kama sikosei ngoja wenzagu wajazie

cc: Bitoz Sweetiepie makaveli10 shululu Jimena briz
 
Nimekusoma sana sweetiepie, mwenyewe nlitaka kuongezea hapo lakini naona tusije tukachafua uzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…