Hapa ni jinsi unavyojichanganya tu hatunaga mambo ya nani mgeni nani mwenyejiHahahahaha najiona kama ng'ombe aliyekatwa mkia na kuingia zizini, ng'ombe wenye mikia wanabaki wanamshangaa hahahahahaha, Asante mkuu
Sijalibiwi voiceHahahahaha najiona kama ng'ombe aliyekatwa mkia na kuingia zizini, ng'ombe wenye mikia wanabaki wanamshangaa hahahahahaha, Asante mkuu
Nimifurai[emoji13]Vp mbona umecheka sana
Hahahahaha umenikumbusha jukwa la siasa hahahaaaaSijalibiwi voice
Hata sisi alituacha na butwaa!!!Du alifanya uamuz mbaya
Amebanwa na majukumuDu alifanya uamuz mbaya
Usiogope nipo kukuhakishia usalamaMkuu jina limenitisha
Mkuu hatari hiyo hahahahaUsiogope nipo kukuhakishia usalama
Huku wanasahau kulala sio tu kulaNgoja Nikale kwanza maana hii forum unaweza kusahau kula
Hahahahaha mkuu nimeamini hahahahaHuku wanasahau kulala sio tu kula
Haya kula ukuje[emoji23] [emoji113]Hahahahaha mkuu nimeamini hahahaha
Mkuu nimekula Nyama choma na ugali, nimeshiba mpaka katumbo kamekuwa kagumuHaya kula ukuje[emoji23] [emoji113]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu nimekula Nyama choma na ugali, nimeshiba mpaka katumbo kamekuwa kagumu
Mkuu nilikuwa na njaa sana[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Pole, bila shaka unazo pesa zetu nyingi ulizolimbikiza kwa kukwepa kodi eee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nilikuwa na njaa sana