good!! naunga mkono hoja, au sijui kinachoendelea,? nieleweshe basi, kabla hujalala!! please.Ndio wote ni sawa, ila sasa isifike mahali ukaona cheo ndo kila kitu, hiyo itapelekea kujiona mnyonge pale unapokosa nafasi hiyo, ndio mana sisi tunalilia usawa,
Makapuku tunaamini wote ni sawa na tuna haki sawa kama wengine bila kujali tarehe ya mtu kujiunga JF
Eeeeh hii ya leo itabaki kumbukumbu humu JF!Sana yani....... Mpaka rahaaaa
hii haijakaa njema sana ujue...We naeeee pita kushoto tu mbona post za makupuku ni nyingi??? Rudi nyuma uwaquote achana na huyo
Ni kweli kabisa, mpaka sasa uzi uko hotEeeeh hii ya leo itabaki kumbukumbu humu JF!
Mi na like wewe hapahapa...Ni kweli kabisa, mpaka sasa uzi uko hot
Mkuu usisahau kupita kule members only kwenye jukwaa la malalamiko, kuna uzi wetu ila wameufunga na kuahidi kufanyia kazi haraka iwezekanavyo, na zile nukta zetu zote hazipo,
Sasa tusubiri matokeo tu maana swala limefika mikononi kwa wahusika
Asante sana na usiku mwema, usikose kurudi nyuma na kutoa likes kwa posts zilizopita,Usikonde sister!!! We uchape mi naliendeleza, hii ni siku ya kuishangaza dunia
Leo sikua humu ndani kabisa nafungua uzi nakuta upo page ya 76 ,dah hili vuguvugu la mabadiliko litawasomba wengi ,
HoyeeeeeeeeeeeHoyeeeeeeeeeeee
Bila shaka mkuu tuko pamoja lazima waelewe tu hii movement mchaka mchaka unaendeleaNyie mliolala laleni baadae mtapokea kijiti na sisi tutalala pia
Mshikamano daima,
Kapuku mwenzangu mpenda usawa ndani ya JF usisite wala kuwa mvivu kupitia page za awali na kudondosha like yako kwa kapuku mwenzako ili kuonyesha umoja wetu katika kutaka usawa humu
MAKAPUKU HOYEEEEEEEEEEEEEE
Tatizo nini huelewi kiwatengu?
Mimi nitakuelewesha jioni..
Kuna watu wanaohusika, hizo ni siri kutoka baraza kuu.