Makapuku Forum

Kumbe kuna njemba mpenda sifa kaiba kipindi chetu cha Leo katika historia
Tutaona mengi
Lakini kimemshinda sababu kichwani hayupo vizuri kimatukio zaidi ya kukopi

Top Ten inaonekana ngumu ndio maana hawajaiga
Kuiga ni jambo moja ubora/mvuto ni jambo lingine ndio maana Wakongwe walituiga na kuanzisha VF kisha ikafa kifo cha mende

...................
 
Aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…