Apumzike kwa amaniNUKUU NO 3#
Nasikia baadhi ya viongozi huko mikoani wanagombania nyumba na magari
Mambo hayo sio muhimu. Viongozi watafanya vizuri wakigombana kuhusu maendeleo ya wanavijiji. Huo ni ugomvi mtakatifu, sawa na mwananchi anayeiba mbolea na kuitumia katika shamba lake
Maneno haya yalipata kutamkwa na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania
Edward Moringe Sokoine, October 1982 akiwa Arusha kama mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
Sokoine alizaliwa Agosti Mosi, 1938. Na alifariki Dunia kwa ajali ya gari akitokea Dodoma April 12,1984
Umeshindwa game la kuchana
Asante kwa nukuu ankaliMpaka Sina la ziada, kwa ya mukongo na 107k chaos
Sasa mbona mnakuwa mnawatetea watu waovu???
Every human being needs a second chance...sio lazma umtetee mtu aachiwe huru ila hata kumpunguzia makali ya kifungo...mf. baada ya miaka 30 hadi miaka 15 sio mbaya.Sasa mbona mnakuwa mnawatetea watu waovu???
Asante kushukuru AnkaliAsante kwa nukuu ankali
Leo umepotea sanaApumzike kwa amani
Ngoja ajeNyie ndio chanzoo
Kwenye mguu haiuiInategemea umepigwa wapi???
Pamoja sanaahsante kamanda, shukrani kwa
NUKUU.
Hi ankali na jirani wa swt pLeo umepotea sana
Huyo ndio mukongoMistari hatari
Mambo niajeeeHi ankali na jirani wa swt p
Pouwa rafik, pande gn?Mambo niajeee
Nambie kaka Quigley[emoji56]Hi ankali na jirani wa swt p
Nipo dar badoPouwa rafik, pande gn?
Poa dadangu, nambieNambie kaka Quigley[emoji56]
Umeahirisha!Nipo dar bado
Kaja boss wanguUmeahirisha!
Umeahirisha!!!Kaja boss wangu