Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Interesting! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh hao ni Waluhya sasa aiih.. Unapatia manzi amenyoooka hana hata Budaa na hukula hyo Sembe hata kilo 3 na bado hujihisi wao ni Binadamu wa kawaida..
Eeeh hii miujiza hawa Manzi hufanya Jesus mwenyew could be Surprised
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] nyau weeHapana, naitumia kumkimbia jonax.... Coz aliktaka kunitumia radi....lbd uje nikupe lift
Bwana sio vizuri...nilipatia we umekana tu[emoji2]Mmmmh....Tatizo unabahatishaaa
Unajitahid ila angalia usijekuwa manyaunyauNdiyo!!
Jino kwa jinoEeh we nae
Shwari sanaaa, kuna chuma nilikuwa namsaidia mdau wangu kufukuzia, mpaka id ikaisha, ila sikufanikiwaNambie lakin shwari? jana ulikula eid yko wapi [emoji5]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Tatizo umeharibu kwenye jina....hapo ndio nikagundua unabahatishaaBwana sio vizuri...nilipatia we umekana tu[emoji2]
[emoji40] [emoji40] [emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poa
Hahahah, kwani ufalme unakataza hizo mambo??Tatizo ctaki kuukosa ufalme wa milele
Sikuwa na sababu nyingine ya kukushawishi sasa[emoji2][emoji1] [emoji1] [emoji1] Tatizo umeharibu kwenye jina....hapo ndio nikagundua unabahatishaa
Tena unakataza sanaaHahahah, kwani ufalme unakataza hizo mambo??
Hahaha, yap napenda.......sema wapo flat bottomed....ila zipo interesting sanaZa wakorea
Hahaha, labda angekuwa hendisamuKama mzuri nisiseme!![emoji16][emoji16]
Sema usivunjike moyo endelea na bidii hizoo......maana ulitaka unidake[emoji1] [emoji1]Sikuwa na sababu nyingine ya kukushawishi sasa[emoji2]
Same to u sweetieeeeeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] nyau wee
Siku hizi tu ndo nimeanza kuangalia series zao kidogo kidogo lakin zamani sikuwa interested![emoji16]Hahaha, yap napenda.......sema wapo flat bottomed....ila zipo interesting sana
Vipi wewe??
Mitume sura ya ngapi vile????Tena unakataza sanaa
UnazionajeSiku hizi tu ndo nimeanza kuangalia series zao kidogo kidogo lakin zamani sikuwa interested![emoji16]
Mi hata wasichana wananivutia tu...ila we Tetra usifikirie kwengineHahaha, labda angekuwa hendisamu
Wanajitahidi kwakweliUnazionaje