iSii yaani na mimi natamani sana kuchangia hizo ishu za kandanda na wachezaji, lakinni sema tu mpira haumo kabisa kwangu, nafahamu madondoo machache sana kwasababu nilikosaga fursa ya kufuatilia haya mambo ajili ya mashule shule na kusoma........ππππππ