Sasa hizo ni nini?
Maana kuna jamaa mmoja juzi alikuwa mgeni na katka utambulisho akaweka na picha yanke.. lakini cha ajabu alitukanwa sana huku akiitwa mshamba.Wanawake wanakarimiwa sana
Mwenyewe kakubali
Hii style acha. Na hivyo alivyo kimodo basi burudani
Zimeshawahi kumuua nani mwingine??Pesa zitakuua
........
Nshafuta within a minuteKaifute kabla hawajaquote, sasa labda kwako vile ndio vitu muhimu but not for me
Pozi matata
Wekaaaaa
Hahahaha, nsamehe bhana, najua siyo vyema thus y nimefuta harakaKaifute kabla hawajaquote, sasa labda kwako vile ndio vitu muhimu but not for me
NilionaMaana kuna jamaa mmoja juzi alikuwa mgeni na katka utambulisho akaweka na picha yanke.. lakini cha ajabu alitukanwa sana huku akiitwa mshamba.
Ila leo kuna mwanamke mgeni kaambatanisha na picha yake ili kasifiwa balaaaa.
Ndo mana na mm nkasema ngoja nipime upepo
SafiNshafuta within a minute
Because he exceedingly canWhy Quigley??
Sasa ule wako umepata replies sababu ya ile puaMaana kuna jamaa mmoja juzi alikuwa mgeni na katka utambulisho akaweka na picha yanke.. lakini cha ajabu alitukanwa sana huku akiitwa mshamba.
Ila leo kuna mwanamke mgeni kaambatanisha na picha yake ili kasifiwa balaaaa.
Ndo mana na mm nkasema ngoja nipime upepo
Pale denti kaliwaHii style acha. Na hivyo alivyo kimodo basi burudani
Ni dollarSasa hizo ni nini?