Leo katika Historia:
1974 - Rais Gerald Ford anapitisha sheria ya kutomshtaki kwa kosa lolote lile mtangulizi wake, Rais Richard Nixon aliyejiuzulu kwa skendo ya " Watergate Scandal "
Jambo hilo la kumlinda Rais mwenzie liliwaudhi Wamarekani wengi na kuamua kumuangusha Rais Ford kwenye uchaguzi uliofata.