Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,399
Mi mwenyewe nataman niwena vipindi viwili tofauti...ngoja nibuni kingineMi Niko kwenye mikakati, ujio wangu utaonekana
Hapo umenena jiranPia yanga kwa sasa uchovu unawasumbua, maana hawajapumzika
Sijaumia hataHujaumia?? Manake vidonda vinaudhi
Morning dearKachukuliwe huko...
Yani Mashkolo typically!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nilikuwa naona nyota tuuMashkolo mageni mayuu..
Sanaaaaaaaaa...Umefurahi eehh..
Mhh bado sijapoteza mahaba lakin....Inuka twende, ndio ukome kusafiri na walev wa matopeni.
Ww kijana achana na hao wazee....njoo yanga kwa vijana wenzioHamieni simbaView attachment 395761
Thank youYou are welcome...
Cc: BitozHumu Ndani mnamaanisha nini Makapuku forum..kila nilienda mbele siambulii kitu..inahusu nini naona lawama..someone please
Skonge sigimbi ndan ndan video itoke wapi kuna mizinga ya nyuki tu.....! ndo maana nimemwambiaa aje tu hukuHuko hamna TV??
Huyu katisha mbayaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tv hamna sema tu ukweli dearNapenda tu niskie toka kwenu
Nashangaa anawasingizia bhangoshaSema kafanana na wanyakyusa
Inaonyesha hata darasan ilikuwa inshu kumuelewa tichaDuh.. Basi atizame tuu maana hatuna jinsi.