Makapuku Forum

Jimena alikuwa anataka kukuachia 101k, Sasa kuichukua yeye
Kwanza nmeshajiuzulu kwenye mashindani.
Kuanzia sasa nitabaki kama mwanachama wa kawaida tu.
Maana haiwezekani hayakufanyika kwa huru na haki.
Ujecha umekuwa mwingi.


~Lipumba voice
[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
Wanyaki tutapona kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…