Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Sep 7, 2016 #100,681 makaveli10 said: Mahaba yanapomtembelea bingwa wa medali 10 za dhahabu za mahaba kwenye olimpik Click to expand... Mbaya zaidi mshiriki mwenyewe hakushine wala nini
makaveli10 said: Mahaba yanapomtembelea bingwa wa medali 10 za dhahabu za mahaba kwenye olimpik Click to expand... Mbaya zaidi mshiriki mwenyewe hakushine wala nini
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Sep 7, 2016 #100,682 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1911 - Guillaume Apollinaire anakamatwa na kufungwa kwakosa la kuiba picha ya Mona Lisa. Click to expand... Mwizi Picha wenyewe ilichorwa na Leonardo Da Vinci ..........
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1911 - Guillaume Apollinaire anakamatwa na kufungwa kwakosa la kuiba picha ya Mona Lisa. Click to expand... Mwizi Picha wenyewe ilichorwa na Leonardo Da Vinci ..........
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,683 Bitoz said: View attachment 395284 Penzi v ulokole ......... Click to expand... Ibilis kazini
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,684 Bailly5 said: View attachment 395288 Click to expand... Namkubal sana huyu mwamba..
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,253 Sep 7, 2016 #100,685 1953 - Garfield Todd anakuwa Waziri Mkuu wa Southern Rhodesia.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,686 Bailly5 said: View attachment 395296 Click to expand... Aahh.. Km bitoz vile..
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,687 Jimena said: Haya sasa masihara Click to expand... Masihara yalipitiliza vipimo.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,253 Sep 7, 2016 #100,688 1961 - Joao Goulart anachaguliwa kuwa Rais wa Brazil.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,689 Bitoz said: Acha kujipendekeza sina undugu na ww Mi natokea ukoo wa kitajiri Ww ukoo wa kitapeli Wapi na wapi ............... Click to expand... Bwege wee labda utajiri wa mawazo utumbo na kuvaa kata k.. Matapeli ndio watu wenye hela zenu mjin hapa..
Bitoz said: Acha kujipendekeza sina undugu na ww Mi natokea ukoo wa kitajiri Ww ukoo wa kitapeli Wapi na wapi ............... Click to expand... Bwege wee labda utajiri wa mawazo utumbo na kuvaa kata k.. Matapeli ndio watu wenye hela zenu mjin hapa..
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,690 Jimena said: Morning family Click to expand... Morng malkia wa nguvu..
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,691 Bitoz said: Anapenda sifa Kila siku Man of the match ........ Click to expand... Anajua tatzo..
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Sep 7, 2016 #100,692 Mussolin5 said: 1922 - Bank ya Latvia yaanzishwa. Click to expand... Tapeli najua unavizia coin ........
Mussolin5 said: 1922 - Bank ya Latvia yaanzishwa. Click to expand... Tapeli najua unavizia coin ........
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Sep 7, 2016 #100,693 Sweetiepie said: Leo namleta mtu wa Massage aje hadi kwako kukurelaxisha misuli yako kazi ya jana haikuwa ndogo kama zawadi yako kwangu...nimlete wa kike au wa kiume?? chagua hapo. Click to expand... Weeee tena uishie hapo hapo. Mtu huyo apelekwe huko kwa kina kigli sisi wenyewe tunajiweza
Sweetiepie said: Leo namleta mtu wa Massage aje hadi kwako kukurelaxisha misuli yako kazi ya jana haikuwa ndogo kama zawadi yako kwangu...nimlete wa kike au wa kiume?? chagua hapo. Click to expand... Weeee tena uishie hapo hapo. Mtu huyo apelekwe huko kwa kina kigli sisi wenyewe tunajiweza
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,694 Jimena said: Mbaya zaidi mshiriki mwenyewe hakushine wala nini Click to expand...
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,695 Bitoz said: View attachment 395313View attachment 395314 MwiziView attachment 395317 Picha wenyewe ilichorwa na Leonardo Da Vinci .......... Click to expand... Huyu mwizi, ana udugu na bitoz
Bitoz said: View attachment 395313View attachment 395314 MwiziView attachment 395317 Picha wenyewe ilichorwa na Leonardo Da Vinci .......... Click to expand... Huyu mwizi, ana udugu na bitoz
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,253 Sep 7, 2016 #100,696 1986 - Desmond Tutu anakuwa mtu wa kwanza mweusi kuongoza kanisa la Anglikana huko South Africa.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,697 Bitoz said: View attachment 395337View attachment 395339View attachment 395340 Tapeli najua unavizia coin ........ Click to expand... Latvijas bank Kinega wee
Bitoz said: View attachment 395337View attachment 395339View attachment 395340 Tapeli najua unavizia coin ........ Click to expand... Latvijas bank Kinega wee
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,214 Sep 7, 2016 #100,698 Jimena said: Weeee tena uishie hapo hapo. Mtu huyo apelekwe huko kwa kina kigli sisi wenyewe tunajiweza Click to expand...
Jimena said: Weeee tena uishie hapo hapo. Mtu huyo apelekwe huko kwa kina kigli sisi wenyewe tunajiweza Click to expand...
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,253 Sep 7, 2016 #100,699 1986 - Jenerali Augusto Pinochet, Rais wa Chile ananusurika katika Jaribio lililolenga kumuua.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Sep 7, 2016 #100,700 Mussolin5 said: 1953 - Garfield Todd anakuwa Waziri Mkuu wa Southern Rhodesia. Click to expand... Southern Rhodesia= Zimbabwe .........
Mussolin5 said: 1953 - Garfield Todd anakuwa Waziri Mkuu wa Southern Rhodesia. Click to expand... Southern Rhodesia= Zimbabwe .........