Asanteni wote kwa kushiriki kuwania post ya 100K
Poleni sana kwa mamluki wote ambao walijaribu ila hawakuweza
Hongera kwa makapuku wote najua mlijaribu ila
Jimena Jimenes ndio kiboko yenu
Lakini kama ilivyo desturi mshindi ni mmoja tu
briz and I tunawakaribisha sana tusherekee record hii ambayo kupatikana kwake ni manufaa kwa makapuku wote.
Peace and love
Cheers
View attachment 395219
View attachment 395220
Karibuni sana tufurahie pamoja.