Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Lakin naskia ati 100k kaifikisha pacha au....???Kwa makapuku wote;
Napenda kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa mchango wenu wa katika uzi huu pendwa,
Ambao leo umeweka REKODI ya uzi wenye posts nyingi zaidi jf.
Zaidi ya yote pia napenda kuwashukuru kuniwezesha kuwa mshindi wa post ya 100,000, isingekuwa ushindani wenu mlioutoa nisingeweza kuwa mshindi,
Bitoz asante kwa ubunifu,
Jimena shukrani kwa chango wako kwa kufanikisha uzi huu kwa ushauri wako,
Billy5 nawe umehusika sana,
Wanachama hawa pia wamekuwa mstari wa mbele katka kusukuma uzi huu;
Musolin5 a.k.a dikteta
Briz..a.k.a baba jj
Shululu a.k.a simba mwenda pole
Sweetiepie...???
Na wengine wengi.
Ushauri
Tuendelea kushikamana zaidi wanduguu
Amen!!Kwa makapuku wote;

Jiraniiii daaahSanaa
We acha tuJJ kachukua!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we acha tu leo nimecheka mpaka machozi asee asante sana kwa hili cheko
Cc all Kapukuz
Nashangaa ilikuwa inasoma kwangu, sasa inasoma kwa diktetaLakin naskia ati 100k kaifikisha pacha au....???
We jamaa tatizo lako umebase kwenye uchukuaji matukio tu...umejisahau kuikimbiza 100k poyeeee lakin....[emoji17]
Mbona mnachanganya?Sielewi sio Jj??
Hongera sana QuigleyKwa makapuku wote;
Napenda kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa mchango wenu wa katika uzi huu pendwa,
Ambao leo umeweka REKODI ya uzi wenye posts nyingi zaidi jf.
Zaidi ya yote pia napenda kuwashukuru kuniwezesha kuwa mshindi wa post ya 100,000, isingekuwa ushindani wenu mlioutoa nisingeweza kuwa mshindi,
Bitoz asante kwa ubunifu,
Jimena shukrani kwa chango wako kwa kufanikisha uzi huu kwa ushauri wako,
Billy5 nawe umehusika sana,
Wanachama hawa pia wamekuwa mstari wa mbele katka kusukuma uzi huu;
Musolin5 a.k.a dikteta
Briz..a.k.a baba jj
Shululu a.k.a simba mwenda pole
Sweetiepie...???
Na wengine wengi.
Ushauri
Tuendelea kushikamana zaidi wanduguu
Ntakushika mkonoAsante, inahitaji moyo maana nimeshawahi kujiunga mwanzoni mwanzoni hata kabla ya kufika 1000, nikashindwa na kasi, sijui kama kwa sasa ntaweza tena
Angalia # sio mtu aliye chini ya pageApp yangu sijui bado inazingua mwanzo niliona 100k ni Quigley sa ivi naona ni Bailly5
Refresh mkuuApp yangu sijui bado inazingua mwanzo niliona 100k ni Quigley sa ivi naona ni Bailly5
hahaha...hapa kuna Yanga Asili na Yanga kampuniNashindwa kuelewa matokeo yanapangwa au
Kwenda ukoooo[emoji35][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo alijihami na pombe hamna lolote
Kufurahi kama hivi ni sehemu ya maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we acha tu leo nimecheka mpaka machozi asee asante sana kwa hili cheko
Cc all Kapukuz
Leta screenshot kuthibitishaHongera sana Quigley
Mwanzoni nilisema timu Ureno inabeba ndoo
Forum haitasimama itasonga mbele bila wasi wasi
Cc bitoz
Cc jimena
Cc briz
Cc mussolin
Cc sweetiepie
Cc werrason
Cc szczesny
Hivi mbona shida hivi?Hapa leo