Huyo km CastroNa amesema haogopi chochote
Inawezekana yeye anaroga labdaHahaha kwan una mpango wa kukesha na uzi? Tutakutana mida hiyo
Kaenda South Korea sio ChinaHalafu nasikia obama kaenda china hajawekewa zulia jekundu
Wamarekani wamefura
UngabureSijatoboa kivip kaka ake lulu?
Ngoja tuone mwisho wa mchezoHuyo km Castro
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
..........
Ni kweli mkuu, afu kuna wengine wanavizia kimya kimya wanasubiri tuusogeze uzi waje wakati wa gombania goli... Hapatatosha aseeHamna ...kwa jinsi hii kitu ilivyopaniwa, kuna hatari ya mtu kuumia humu
Ngoja nkachungulie nione nna-gape kias ganUngabure
[emoji4][emoji4][emoji4]Ni poa sana shemela
Umeona eheeeNi kweli mkuu, afu kuna wengine wanavizia kimya kimya wanasubiri tuusogeze uzi waje wakati wa gombania goli... Hapatatosha asee
Sina mpango wa kukesha, itategemeana na response za wadau... Nikiona kila kapuku kalala alafu 100k bado kama post jero hivi....nazitupiamo zote mimi mwenyewe bila hiyana.Hahaha kwan una mpango wa kukesha na uzi? Tutakutana mida hiyo
USA haijaribiwiNgoja tuone mwisho wa mchezo
[emoji62][emoji62][emoji62][emoji62]
Sanaaaaa.....[emoji4][emoji4][emoji4]Asikwambie mtu shem, kupendwa raha [emoji4]
Haha Quigley alishaufanyia maombi huu uzi toka day one so hakuna nguvu ya giza itakayoshinda humuInawezekana yeye anaroga labda
Na wote tuliomo humu...well... more like ka event flan tu hivi. [emoji4]Na nani eti[emoji8]
Sijaicheki lakin upishi umenitinga.Mimi bado hata aisee
OyoooooooUngabure
Hapa nikonatengeneza Bot liwe linatupiamo post tatu kwa kila sekunde, wakati nikiwa nimelogoff🙂🙂Ni kweli mkuu, afu kuna wengine wanavizia kimya kimya wanasubiri tuusogeze uzi waje wakati wa gombania goli... Hapatatosha asee
OyoooooooView attachment 394945nmeshampita tayari kwa zaid ya likes 150
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
Pole akati anafaudu kitu new...[emoji4][emoji9][emoji173]Wala sio wakupongeza, mpe pole