Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Sh 100pango nin
.......
Sh 100pango nin
Morning!!Morning shem lake!
Bora umeliona jua, ck 2 silioniNi kwema sana kajua kamechomoza na kaubaridi flani hivi
mmmh hawa wawapi
Huyu jirani mwaka huu hautoisha lazma ale mema ya nchi kwakweli...[emoji4]Ankali ni mvumilivu sana, na type hiyo ndo hula mbivu na mema ya nchi[emoji4]
Based on fact....thanx shem lake! [emoji4]
Morning shululuMorning all
CC: JJNi kwema sana kajua kamechomoza na kaubaridi flani hivi
Mungu yu mwema.Ni jambo jema nala kushukuru Mungu kwa kutuamsha salama
Huu sasa ni uchochezi!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea made in China wewe!
Yani leo niko hapa kapukuni kwa hasira sana...Kweli ww mtoto wa mama
Unapenda deko tu
Hebu acha vitu vya bure
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
.........
Daaaah hapa pananifaa sana hapa jamani....[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Teesher saner kikofiaasubuhi njema wote wanaKF
Mlikuwa nami;
City Boy
Kikofia
Jonax
Mr. Kutambariiing
Johnax
Nlkuwepo kwa udhamini wa[emoji116] View attachment 393804ametupia post ya 97k
ASANTENI
Huu sasa ni uchochezi!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya Historical sites...wapi hii?? niende Asap!! [emoji4][emoji5][emoji5][emoji5]
Morning, habari za family QuigleyMorning shululu
Mmh hii nyumba nna wasiwasi nayo haishi Serial killer kweli humu!!? mbona mazingira tatanishi!! [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimeitoa sehemu inahusu majengo ya ajabuMambo ya Historical sites...wapi hii?? niende Asap!! [emoji4][emoji5][emoji5][emoji5]