Ishi.. Kwahyo mimi kumchumu pacha wako imekuwa nongwa.. Mke wangu mbona unataka unidhalilishe hvyo mpenz, its just a normal kiss, ambayo inaonesha namkubal shemeji yangu, anyway t seems nmekukwaza.. Am sorry hny.. Bt haipo kama unavyofikiria. Am nt that type.