Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Huyo ni yeye acha ubishi shem...ohoo![emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi kuwa huyo bana mabibo kuna maji ya kutosha, huyo kwenye picha hanywi maji kabisa[emoji41] [emoji41]
iiiiiiii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli kabisa, mfano kuna mwanasiasa flan namuonaga ana maamuzi ya kike japo ye mwanaume
Haha travetine tena, kule kwenye mipasho[emoji41][emoji41][emoji41]Hata huwa ananishangaza sana na vituko vyake,mara aende travertine kwenye taarabu
Ntakuchora hata ya uchangani...mi na wewe tena. [emoji4]Ya utotoni... Ikae kabsa kwenye simu yake.
Am nt sure, ila naamin ndio level ya za huko, hawez kuwa 40+, hata kwenye 50+, si below 55, ni zaid. Jitu zima hilo mpenz, we huon mashav yanaporomoka hayo.iiiii jamani you've got to be shitin me [emoji33][emoji44]!! kafika 60 like seriously??!!!
Hata mi nlijua wapo wote [emoji4][emoji4]Utamtumiaje sasa wakati uko nae hapo
Duh! Kumbe ni babu60 sijui..
Tena nashauri mchore kama vile Jack na Rose wa Titanic...ndio itanogako zaidi eti shem idea yangu nzuri eeh?! [emoji4][emoji4]Nice!! Mi nataka nimchore Jimena wangu [emoji85][emoji85][emoji4] japo sijapractise kitambo lakin hiyo haiwezi kunishinda
Anytime...[emoji4]Cwt"p" ntakutumia picha yangu unichore best..
Weweee....[emoji46][emoji46], ila shwari tu.Am nt sure, ila naamin ndio level ya za huko, hawez kuwa 40+, hata kwenye 50+, si below 55, ni zaid. Jitu zima hilo mpenz, we huon mashav yanaporomoka hayo.
Na kwako pia.. pamoja na Mussolin5Sabato njema Kapukuz!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Alizaliwa wakati wa kupatwa kwa jua.. [emoji86] [emoji86]
hahaha kweliWalisema ni Ronaldo mpya akachemsha!!!
Vita ya msituni iliwamaliza wamarekani.Wamarekani walikula kichapo hapo!
Love u mo everydayNdio baby....ya kutoka kwa Dj wetu Cobblepots
Pia naweSabato njema Kapukuz!
Sana tu mwanangu.. afu dj wetu Cobblepots atakua anascratch humoHatar mwanangu unafaa kwa back vocals....
Huko huko, anapenda sanaHaha travetine tena, kule kwenye mipasho[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huko huko, anapenda sana
Ngoja nianze tena kufuatilia brog yakeHuko huko, anapenda sana