Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Kuna mchambuzi wa kiingereza anakwambia Bergkmap alifanya " Three touches " Control, Turn and Finish.Sasa hili goli ukute anakutangazia muarabu halaf mnaz wa uholanzi.. Utarudia kulitizama mara buku.
Mzaramo huyo.. Mdomo kisima cha maneno..Alikiwa ana B zote.
Ball balance
Ball control
Ball .........
Ball ......
Kwa mujibu wa mbwiga
yaap!!Nakumbuka vizuri siku ile chupuchupu rekodi ife Van Nistelrooy aligongesha mtambaa panya
.......
4 gamesHapo ndugu zangu mmepata kifaa, kila nikimchunguza bailly eric namuona amekamilika kila idara, ana nguvu, ana akili, mzur kwa mipira ya juu, mzuri mipira ya chini, anajua kujipanga yeye na wenzake.. Full control, vyote anavyohitaji bek wa kisasa anavyo.. Nilitaka nisahau, ana timing nzur mnoo..
Mtu wa shughuli huyo!!Michael reigzer beki No2, Holland to Barcelona
Sasa hivi mpira wa ushindani na nguvu kama huko nyuma, hamna tenaKuna mchambuzi wa kiingereza anakwambia Bergkmap alifanya " Three touches " Control, Turn and Finish.
Mario Basler hakuwa na bahati usiku ule pale Nou campNakumbuka fainali ya champion ligi, Bayern na Man zile besela za wajerumani nilikua najua man hachomoi,
Ngozi nyeusi ikaua game
KiberengeMarc Overmas the flying dutchman. Tulikuwa tumesahau
Alilia sanaMario Basler hakuwa na bahati usiku ule pale Nou camp
Alikuwa anajua sana. Soka la kisasa limepoteza mafundi wa kariba ya Redondo.Redondo ndio bora sana kwangu kwa muongo huo
mwanzo mzuri4 games
3 Man of The Match
.........
Tatizo wenger hawafanyi wakacheze kiume.. Mcheki diego simeone na wahuni wake..Labda tuone msimu huu, lakini Arsenal inachosha kuangalia kwa kuwa wanacheza kivulana zaidi
Unamkumbuka Effenberg?Alilia sana
Akili zishachokaTatizo wenger hawafanyi wakacheze kiume.. Mcheki diego simeone na wahuni wake..
Nakumbuka sana, mjerumani katili sana huyoUnamkumbuka Effenberg?
Na magoli mengi ya berkamp ukichunguza hvyo vtu hukosi, vs Leicester, vs newcastle, nyingne sijui aliwapiga Tottenham wale..Kuna mchambuzi wa kiingereza anakwambia Bergkmap alifanya " Three touches " Control, Turn and Finish.
We utapata wapi beki kama hyo. Game mnashinda lakin man of the match beki..4 games
3 Man of The Match
.........
Kama namuona vile.. Mwanaume stefan effenberg..Unamkumbuka Effenberg?
Leo hii tuna akina DraxlerNakumbuka sana, mjerumani katili sana huyo
yapNa magoli mengi ya berkamp ukichunguza hvyo vtu hukosi, vs Leicester, vs newcastle, nyingne sijui aliwapiga Tottenham wale..