Chochote usemacho ntafanya tu nikishatoka mexico niende na wapi tena..(Baby) nimejaribu tu na kama hutopenda hili jina niambie nitafanya edit chap chap tu..Tenaaa akaangalie mapenz ya tamthiliya za mexico ndio arud hapa
Kila la kheriNikushukuru sana kwa dhati umepambana mno mpaka tumefikia sehemu nzuri hapa naamin ntamalizia mwenyewe..
una mawazo kama yangu baby. Ndo maana nakupenda sana lizziebettie my one and only wifeTujifungie tutoke jumapili jion
Nakupenda zaid my love!una mawazo kama yangu baby. Ndo maana nakupenda sana lizziebettie my one and only wife
Ngoja nione mwisho wake sasahahahahahaha kaingia pabaya sasa.
ya kikorea siku ndo yanabamba ... kina lee ga youngAkaangalie ya waphilipino ndo akuje kabisaaa
Mambo ya Oppaya kikorea siku ndo yanabamba ... kina lee ga young
Jamani MANDELAA KIWELU na dada Linamo niwashukuru pia nanyi maana mambo sasa yanaelekea mahali tunapoweza kubadilsha hata majina na kutumia majina kama baby na hata honey na sisemi uongo tumeanzisha timu inaitwa ULIPO TUPO hii na yangu mimi na amaizing maadam tunaienjoy sana tuna wakaribisha team yetu pia..naona hii game ngumu kwa manuu, bora ajisalimishe tu
Loving you is beautiful thing, tupendane tu my lizziebettie hakuna namnaNakupenda zaid my love!
Mia mia mtu wangu..Kila la kheri
Mpaka kifo kitutenganishe baby!Loving you is beautiful thing, tupendane tu my lizziebettie hakuna namna
Akuu...... Siwezi kumsaliti sweety wanguhahahaha angalia usijeingia kingi....
Lakini umemwambia yale madhaifu yako mkuu!!!Mia mia mtu wangu..
hakika honey wa mimi, we mwanamke wewe acha tuMpaka kifo kitutenganishe baby!