Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hiyo ndoa naisitisha...!!Aiyaa.. Nishaharibu.. Just thnkng
No, sio mimi, niliongea kwa nafsi ya bitozi, tozi ndio mtu wa hayo mambo, huon hata jina lake tozi linaendana na totozi.. Nilikiwa namtania tu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aliingia kwenye dk km 75.. Sub ya nolito.Mimi sikumuona kabisa
We nawe umo..Nimesahau kwann nimeguna...[emoji28][emoji2]
Kazi gani!?Jaman mmi natafta kaz
No usifanye hvyo cwt"P" wangu..Hiyo ndoa naisitisha...!!
Kazi yoyote halali mmi ni binti nina miaka24 elimu yangu kidato cha nneKazi gani!?
Siku hizi ajira ishu usishangae mjini digrii kibao hawana kazi...km upo mkoani komaa upate mtaji halafu ndo uje mjini kujaribu biashara huku unatafuta ajiraKazi yoyote halali mmi ni binti nina miaka24 elimu yangu kidato cha nne
Cc jimenaMmi natafta kaz
Boss kauzu sana
Don't rush.... Atapatikana mtu sahihi wakati sahihiMikoba ya Top Ten imeshindikana?
...............
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Cc jimena
Unarudi lini sasa hiyo safari??[emoji3] [emoji3]Kwa kukuumbua tu, nakupa like hii comment yako shem lake..
Kwa kusema maneno mengi kuliko vitendo wanisingizia..
Hapo chini, umenifurahisha, nikirud safar yangu tu.. Offer ya kulala south beach wiki nzima..