makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,875
- 104,087
Huwez jua tu, yawezekana nae bibie imetuna kwa hamu.. Sema tu za wenzetu zina siri zaidi.Itakuwa ngumu kwa biharusi
Ndio maana nasema zao nyeti, zina usiri mkubwa., sio sisi kidogo tu, network searchng, haijal hata kama uko mbele ya mkwe.