Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Hapana chezea. KF ndo habari ya mjiniKabisa, ndani ya siku moja 2k,unafanya mchezo
Hapana chezea. KF ndo habari ya mjiniKabisa, ndani ya siku moja 2k,unafanya mchezo
Hapo sawaMaji
Kushukuru kwa yote...lile tukio la kifo cha ndugu zake SznyMungu anaogopa maji?? Aliyaumba ya nini?
Maana we ulisema wamshuku ndio nikauliza kwa lipi??
YaaniKwani shda nn
Mtera je?Anhaaa
Nme kulia bara.
Maji sja wahi yazoea
Weka pichaSiyo hadithi kuna watu vsha watokea lady J
NotedWahudumu wako charming with huge hospitality, nice food, nice drinks, security, nice quiet evening daah..kwa kifupi that was the place! Szny tukitoka mtera tuuunge kutani tuta enjoy sana.
Cc mussolinSanaaa
Na hapo btoz hayupo
Msogeza nyuzi
Hadi rahaMweer!!
Nmefarijika sana kuona uzi ulivo shambuliwa kwa kasi hvii
YeahKushukuru kwa yote...lile tukio la kifo cha ndugu zake Szny
Aaah
Ntakupeleka uka enjoy

Mwendo kasiHii ni speed kubwa sana
Okay
Mto ruaha jeMtera je?
ExactlyBrain washed.
Ni mpango tuu huo lady J
Wanakufa ila sio kwa chunusi. Chunusi ni mythSiyo hadithi kuna watu vsha watokea lady J
HaaaaMtera je?
Habari ya mjini kwa sasa na kuendeleaHapana chezea. KF ndo habari ya mjini
Eti mtu kafa wamshukuruKwani shda nn