shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 24, 2016 #88,841 Jimena said: Hii sikuipata aisee Click to expand... Wakati wanazindua treni ya gongolamboto stesheni
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 24, 2016 #88,842 Leo katika Historia: 1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua. Ni tukio lililowashangaza wengi.
Leo katika Historia: 1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua. Ni tukio lililowashangaza wengi.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 24, 2016 #88,843 1981 - Mark David Chapman anahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mwanamuziki John Lennon.
1981 - Mark David Chapman anahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mwanamuziki John Lennon.
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 24, 2016 #88,844 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua. Ni tukio lililowashangaza wengi. Click to expand... Kisa nini aisee
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua. Ni tukio lililowashangaza wengi. Click to expand... Kisa nini aisee
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 24, 2016 #88,845 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua. Ni tukio lililowashangaza wengi. Click to expand... Why so? .....
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua. Ni tukio lililowashangaza wengi. Click to expand... Why so? .....
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 24, 2016 #88,846 1991 - Michail Gobachev anajiuzulu wadhifa wake katika chama tawala cha kikomunisti.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 24, 2016 #88,847 1991 - Ukraine yajitangazia uhuru wake toka kwa Urusi.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 24, 2016 #88,848 1929 - Yasser Arafat anazaliwa. Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Palestina.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 24, 2016 #88,849 Mussolin5 said: 1981 - Mark David Chapman anahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mwanamuziki John Lennon. Click to expand... Chapman Lennon ....
Mussolin5 said: 1981 - Mark David Chapman anahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mwanamuziki John Lennon. Click to expand... Chapman Lennon ....
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 24, 2016 #88,850 1982 - Jose Bosingwa anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ureno.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 24, 2016 #88,851 1988 - Maya Yoshida anazaliwa. Ni mchezaji wa Southampton.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 24, 2016 #88,852 Mussolin5 said: 1991 - Michail Gobachev anajiuzulu wadhifa wake katika chama tawala cha kikomunisti. Click to expand...
Mussolin5 said: 1991 - Michail Gobachev anajiuzulu wadhifa wake katika chama tawala cha kikomunisti. Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 24, 2016 #88,853 Bitoz said: Halafu Polisi waliokufa ni wa4 ....... Click to expand... Kumbe hata porisi wa awamu ya 5 pia wanakufa??
Bitoz said: Halafu Polisi waliokufa ni wa4 ....... Click to expand... Kumbe hata porisi wa awamu ya 5 pia wanakufa??
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 24, 2016 #88,854 Ni siku ya Kobe Bryant huko jijini California.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 24, 2016 #88,855 Leo katika Historia: Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Weka picha, tukutane kesho.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 24, 2016 #88,856 shululu said: Wakati wanazindua treni ya gongolamboto stesheni Click to expand... Alitisha
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 24, 2016 #88,857 shululu said: Upo lakini, Jana uliadimika sana Click to expand... Mimi au??
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 24, 2016 #88,858 shululu said: Mwakyembe yeye anajifanya msoma hukumu ndani ya Bunge Click to expand... Duuh
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 24, 2016 #88,859 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua. Ni tukio lililowashangaza wengi. Click to expand... Huyu sasa amevunja rekodi
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua. Ni tukio lililowashangaza wengi. Click to expand... Huyu sasa amevunja rekodi
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 24, 2016 #88,860 Jimena said: Mimi au?? Click to expand... Wewe ndio