Makapuku Forum

Mzee flani mjanja mjanja kama Akili si mali.
Namjua sana, wakati anaenda kugombea kuwa mwenyekiti wa simba,simu yake ilikuwa mbovu sana,akaipeleka kwa fundi ikatengenezwe
Baada ya kufika kwa fundi anamwambia nipe simu yako nitumie kwenye kampeni, wakati unanitengenezea simu, alivyopewa na kushinda hakurudi tena kwa fundi wa simu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…